Monday, 13 July 2009

Chanzo cha Maji

Dr. Shukuru Kawambwa ambaye sasa ni Waziri wa Miundombinu akiangalia chanzo cha Maji cha Mto Mbwinji uliopo mkoani Mtwara, aliyevaa shati la kitenge ni Mkuu wa Wilaya ya Masasi Bw. Amanzi na katikati ni Mkurugenzi wa Maji Mijini Wizara ya Maji na Umwagiliaji Bw. Lupimo.

Thursday, 11 December 2008

Nakula Nondo


Mkuu wa Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro Mwantum Malale akinutunuku shahada ya kwanza ya Mawasiliano ya Umma (BA Mass Communication) hapa ilikuwa katika mahafali ya kwanza ya chuo hicho, anayeangalia ni Rais mstaafu wa Serikali ya awamu ya tatu Benjamin Mkapa.

Saturday, 29 November 2008

Mambo ya Mahafali

Hii ilikuwa ni muda mchache baada ya kutunukiwa shahada ya kwanza ya Mawasiliano ya Umma nikiwa na wenzangu Abdulwakil Saiboko na Simba Shaaban.

Ben Mkapa

Rais mstaafu wa Serikali ya awamu ya tatu Benjamin Mkapa naye hakuwa nyuma katika mahafali ya kwanza ya Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM)

Mambo ya Shampeeeni

Hapa nilikuwa katika hafla fupi iliyoandaliwa kwa ajili yangu baada ya kutunukiwa shahada ya kwanza ya Mawasiliano ya Umma (BA Mass Communication) katika chuo cha Waislamu Morogoro.

Saturday, 4 October 2008

Bahari Beach

Hii ni moja ya Beach zilizo na mvuto nchini Tanzania

Vinyago