Wednesday 9 February 2011

Mama Singano Aagwa Tume


Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Jaji Profesa Ibrahim Juma(Kulia) akimpongeza na kumkabidhi zawadi aliyekuwa mfanyakazi wa Tume Mama Singano wakati wa hafla fupi ya kumuaga

Wadau wa Ulanga Wachangia Sheria Ya Mila


Baadhi ya Wadau wa wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro wakishiriki katika maboresho ya Sheria ya Mila zinazorithi mlango wa mama

Waziri Kombani Alipoitembelea Tume





Waziri wa Katiba na Sheria Celina Kombani akiwa katika matukio tofauti wakati alipofanya ziara yake ya kwanza katika Ofisi za Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (LRCT)

Wednesday 19 May 2010

Rage Akabidhiwa Ofisi


Aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba Hassan Dalali akimkabidhi mwenyekiti mpya wa klabu hiyo Ismail Aden Rage Kikombe cha ubingwa wa Vidacom wakati wa makabidhiano ya ofisi na vifaa vya klabu hiyo

Nasi Tumo


Hapa nipo na mtumishi mwenzangu Shadrack Makongoro ambaye ni Ofisa Sheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (LRCT)

Tuesday 18 May 2010

Pinda Aukwaa Ukamanda wa Vijana


Mbunge wa kuteuliwa Kingunge Ngombare Mwiru akimvisha ukamanda wa vijana Waziri Mkuu Mizengo Pinda

Wasanii Watangaza Kuchangia CCM