Monday 28 July 2008

Mbio za akina dada

Hapa akina dada kutoka vyuo vya elimu ya juu mkoani Morogoro wakiwa tayari kwa mashindano ya riadha katika uwanja wa Jamhuri Morogoro

Radio Generation



Hapa watangazaji wa Kituo cha Radio cha Generation Fm cha Mbeya wakiwa kazini, nilibahatika kukitembelea kituo hicho hivi karibuni kwa mwaliko rasmi

TAZARA Mbeya

Hapa nipo katika Station ya Garimoshi TAZARA mkoani Mbeya

Mbeya Town


Hapa ni eneo la mzunguko wa magari la kuelekea Hospitali ya Rufaa Mbeya

Mzee Kazimoto wa Mbeya


Picha zote zinanionesha nikiwa na mpiga kiwi ama msafisha viatu maarufu kwa jina la Kazimoto, hapa ni karibu kabisa na Chuo Kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Mbeya.

Kwa Heri!

Hapa nipo na wenzangu Jamal Hashim (Chambi) kushoto, Hatib Mkabara wa pili kulia na Kassim Waziri (Katelephone) wa kwanza kulia wakati wa sherehe ya kuagwa wanafunzi wa mwaka wa tatu wa Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM) sherehe hiyo iliandaliwa na Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu Tanzania (TAMSA)