Thursday 29 April 2010

Mambo Baaaaado Dar

Hii ndiyo hali halisi ya baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es Salaam kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha

JK Akihani Msiba

Rais Jakaya Kikwete akitoka katika moja ya nyumba za wafiwa wa watoto waliogongwa na gari huko Msoga Bagamoyo mkoa wa Pwani

Wednesday 28 April 2010

Hii Kali Tena

Gari ikiwa imeingia katika Mtaro eneo la Kimara

Hapa 'Shwari'

Vijana wa shughuli wakihakikisha usalama wa kiongozi wa nchi katika sherehe za Muungano Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.

Tuesday 27 April 2010

Daladala za Zenji


Hali Tete Dar




Hali haikua shwari kabisa kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam jana kufuatia mvua kubwa kunyesha na kusababisha foleni kubwa iliyowalazimu baadhi ya watu kutembea kwa miguu. Hali hiyo pia ilipelekea watu wanaotumia magari kuchukua muda mrefu sana kelekea 'makwao' kwa mfano mtu anayekaa Mbezi ya Kimara ilimlazimu kuchukua zaidi ya saa nne ili afike nyumbani


Monday 26 April 2010

Ziara Mbinga, Songea

Mimi katikati nikiwa na wanasheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Flora (Shoto) na Flaviana, hapa tuko wilayani Mbinga mkoa wa Ruvuma