Saturday 4 October 2008

Bahari Beach

Hii ni moja ya Beach zilizo na mvuto nchini Tanzania

Vinyago


Ngeleja akiwa na Waandishi

Waziri wa Nishati na Madini Bw. Ngeleja akiongea na waandishi wa habari juu ya mgao wa umeme nchini.

Mambo ya Zaka


Baadhi ya wananchi wa jiji la Dar es Salaam wakiwa wamekusanyika karibu kabisa na Soko la Kisutu kwa ajili ya kusubiri Zaka kutoka kwa tajiri mmoja waliyemtaja kwa jina la Baghdad

Kumbe mgao wa Umeme unasaidia!

Fundi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) akifanya kazi wakati wa mgao wa umeme nchini.

Ujenzi Barabara ya Mandela


Picha zote zikionesha mafundi wakiendelea na ujenzi wa Barabara ya Mandela jijini
Dar es Salaam.