Thursday 6 May 2010

Mkutano Wa Uchumi Duniani


Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akitoa ufafanuzi katika mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani, kulia ni Waziri Mkuu wa Ethiopia Meresi Zenawi


Makamu wa Rais Dr. Ali Mohamed Shein na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dr. Asha-Rose Migiro wakifuatilia mada

Nigeria Swears in New President

Goodluck Jonathan, Nigeria's acting president, has been sworn in as the country's new leader following the death of Umaru Yar'Adua.

Jonathan took the oath of office at a ceremony in the capital, Abuja, on Thursday, just hours after officials announced the death of Yar'Adua following a long illness.
Yar'Adua will be buried in his northern home state of Katsina later in the day, while the country has begun seven days of mourning for the president.


Yar'Adua had not been seen since February when he returned from treatment in Saudi Arabia [EPA]

Jonathan had already been running the country after assuming the position of acting president on February 9, while Yar'Adua was in Saudi Arabia receiving medical treatment.

Under the constitution, Jonathan is now the head of state until the country's next elections scheduled to be held by April 2011. He will also nominate a vice-president, subject to approval by the senate.

JK katika Mkutano wa Kimataifa wa Uchumi

Kasheshe la Mvua Bongo


Wednesday 5 May 2010

Gado na Uchaguzi wa UK May 6


JK Katika Mkutano wa Uchumi Duniani Dar

JK akiwa na Klaus Schwab katika mkutano wa Uchumi wa Dunia Dar

Pinda Akutana na Tsavangirai

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Waziri Mkuu wa Zimbabwe, Morgan Tsivangirai , Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri Mkuu wa Zimbabwe, Morgan Tsivangirai, Ofisini kwake jijini Dar es salaam May 5, 2010. Tsavangirai yuko nchini kuhudhuria mkutano wa Uchumi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Tuesday 4 May 2010

JK Akutana na Mama Maria

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mama Maria Nyerere, alipokwenda kumtembelea Ikulu Dar es Salaam

JK na ICF Investment Climate Summit

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijadiliana na Rais Mstaafu Benjamin Mkapa (wa pili kulia), Mwawaziri wakuu wastaafu Joseph Warioba (wa tatu kulia) na Salim Ahmed Salim ( wa pili kushoto) pamoja na Katibu wa Jumuiya ya Africa Mashariki Balozi Juma Mwapachu (wa kwanza kushoto) mara baada ya kufungua mkutano wa ICF Investment Climate Summit Dar

No Mgomooooooooo!

Rais wa Shirikisho la Vyama vya wafanyakazi Tanzania (TUKTA) Ayoub Omar akionesha nyaraka wakati wa kusitisha mgomo wa wafanyakazi

Wakiimba wimbo wa mshikamano

'Tweenzetu'


Monday 3 May 2010

JK Alonga na Wazee

JK akisisitiza jambo alipozungumza na wazee Dar

Baadhi ya wazee waliohudhuria mkutano


Jogoo 'Stail'


Sunday 2 May 2010

Hakuna Jinsi

Kocha wa timu ya Taifa Maximo akijaribu kujieleza mbele ya 'majournalist' baada ya timu yake kutoka sare na Rwanda

JK Akiwa Uganda

Rais Jakaya Kikwete akiwa na mwenyeji wake Yoweri Museveni (katikati) na Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga wakati alipohudhuria mkutano juu ya masuala ya uwekezaji kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika nchini Uganda