Thursday 13 May 2010

Serikali Yafanya Kikao na Viongozi wa Dini


Mmoja wa Masheikh wanaohudhuria kikao cha Serikali na viongozi wa dini akichangia mada katika kikao hicho

Mambo ya Baraza Jipya la Mawaziri UK


Baraza jipya la Mawaziri la Uingereza lilipokutana na kukubaliana kupunguza mishahara yao

Spika Sitta Akutana na Rais wa Uturuki


Spika wa Bunge Samuel Sitta na ujumbe wake wakiwa na Rais wa Uturuki Abdullah Gulu nchini Uturuki

Wednesday 12 May 2010

JK na Geubuza Wazindua Daraja la Umoja


Hivi ndivyo daraja la Umoja linavyoonekana


Rais Jakaya Kikwete na mwenzake wa Msumbiji Armando Geubuza wakikata utepe kuzindua rasmi daraja la umoja Mtwara

Babu Kaju Akutana na Dk. Batilda


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Mazingira Dk. Batilda Burian akizungumza na mdau wa soka Alex Kajumulo

Spika Sitta Akiwa Uturuki


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samuel Sitta akilakiwa na mwenyeji wake Spika wa Bunge la Uturuki Mh. Mehmet Ali Sahin mara baada ya kuwasili nchini humo

Tuesday 11 May 2010

JK Akutana na Msimamizi wa Miradi ya UNDP


Rais Jakaya Kikwete akiwa na Msimamizi wa Miradi ya Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP)Bi.Hellen Clark Ikulu

JK Awaapisha Viongozi wa Tume ya Maadili


Rais Jakaya Kikwete akimuapisha Jaji Damian Lubuva kuwa mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Uongozi Ikulu Dar es Salaam.


Rais Kikwete akibadilishana mawazo na uongozi wa Tume ya Maadili ya Uongozi mara baada ya kuuapisha

Monday 10 May 2010

Mambo ya Tamati ya Ligi Kuu Uingereza


Rooney akiwa na kababyy...........!


Kocha wa Chelsea akifurahia kombe la Ubingwa wa Uingereza

Sunday 9 May 2010

Rage Aukwaa Uenyekiti Simba


Mwenyekiti mpya wa Simba Ismail Aden Rage akipongezwa na aliyekuwa mgombea wa uenyekiti wa klabu hiyo Bw. Hassan Hasanoo mara baada ya kutangazwa mshindi na kamati ya uchaguzi ya Simba katika uchaguzi uliofanyika jana kwenye bwalo la maafisa wa polisi Oysterbay jijini Dar es salaam.


Uongozi mpya wa Simba ukiwa katika picha ya pamoja

Bendera Ya Tanzania Katika Wimbo wa Akon