Thursday 4 February 2010

Moo na Miaka 33 ya CCM


Mbunge wa jimbo la Singida mjini Bw. Mohamed Dewji (wa pili kulia) akipokea maandamano ya Umoja wa Wanawake Jimbo la Singida wakati wa maadhimisho ya miaka 33 ya Chama Cha Mapinduzi mkoani Singida.

Mambo Ya Bungeni


Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Bw. Joel Bendera (Kushoto) akibadilishana mawazo nje ya ukumbi wa Bunge na Msajili wa vyama vya Siasa nchini John Tendwa

Mambo ya Hakimiliki


Mhadhiri wa sheria Bw. Adam Mambi akitoa mada juu ya mapendekezo ya sheria mpaya ya Hakimiliki katika warsha iliyofanyika jijini Dar es salaam.