Saturday 15 August 2009

Duuuh! Hii Kali


Hapo tupo Pamoja

Hivi ndivyo watakavyokaa maelfu ya wapenda michezo wakati wa kushuhudia mashindano ya Olympic yajayo huko nchini Uingereza.

Mambo ya Olympic UK

Wataalamu wa ujenzi wakiwa katika moja ya viwanja vinavyojengwa kwa ajili ya Mashindano ya Olympic yanayotarajiwa kufanyika nchini Uingereza.