Wednesday 9 February 2011

Mama Singano Aagwa Tume


Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Jaji Profesa Ibrahim Juma(Kulia) akimpongeza na kumkabidhi zawadi aliyekuwa mfanyakazi wa Tume Mama Singano wakati wa hafla fupi ya kumuaga

Wadau wa Ulanga Wachangia Sheria Ya Mila


Baadhi ya Wadau wa wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro wakishiriki katika maboresho ya Sheria ya Mila zinazorithi mlango wa mama

Waziri Kombani Alipoitembelea Tume





Waziri wa Katiba na Sheria Celina Kombani akiwa katika matukio tofauti wakati alipofanya ziara yake ya kwanza katika Ofisi za Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (LRCT)