Katibu wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (LRCT) Japhet Sagasii akimkabidhi cheti cha kumaliza mafunzo ya Uongozi na Maadili Naibu Katibu Mtendaji wa Tume Adam Mambi huko Bagamoyo
Watumishi wa Serikali wakiwa katika moja ya mafunzo yao ya Uongozi na Maadili
Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi na Maadili wakifurahia wakati wakihitimisha mafunzo yao katika Hoteli ya Kilomo Bagamoyo
Dereva akijaribu kuondoa maji yaliyochanganywa na mafuta katika gari baada ya gari hilo kuzimika kufuatia kuwekewa mafuta yaliyochanganywa na maji
Mafuta yaliyochanganywa ma maji yakitiririka
Wanasheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania pamoja na Dereva wakisoma 'catalogy' ya gari ili kupata ufumbuzi wa kuzimika kwa gari
Baadhi ya Watendaji wa Serikali wa Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma wakisikiliza mada zilizokuwa zikitolewa na Wanasheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania waliotembelea Wilaya hiyo hivi karibuni