Wednesday 4 June 2008

Ziara ya Pinda MUM

Waziri Mkuu Mizengo Pinda ( kushoto) akikagua chumba cha Computer katika Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM) wakati wa ziara yake ya ghafla chuoni hapo, wa kwanza kulia ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof Hamza Njozi.

Hapa tupo Bomba!


Vijana wa kitanzania wakiwa ughaibuni.