Wednesday, 30 April 2008

BONANZA LA VYUO VIKUU MJINI MOROGORO




Picha ya juu inawaonesha wachezaji wa MUM wakijiandaa kuingia katika ngwe ya pili ya mchezo wa fainali dhidi ya Chuo Kikuu cha Mzumbe ambapo timu hiyo ilichapwa mabao 2-1 katika uwanja wa Jamhuri.
Picha ya pili inamuonesha mshambuliaji hatari wa timu ya mpira wa pete ya MUM akiwa amepumzika mara baada ya kuiwezesha timu yake kutwaa kombe la Bonanza.
Picha ya chini inawaonesha wachezaji wa timu ya MUM wakiwa katika mapumziko wakati wa mchezo wa fainali dhidi ya Mzumbe.

No comments: