Pata picha,Habari na mambo mbalimbali katika Mtazamo
Wednesday, 9 April 2008
Kibuyu chirizi
Watoto wakinawa uso kwa kutumia maji yanayotoka katika Kibuyu Chirizi. Shule za Msingi zimeshauriwa kuwa na utaratibu utakaowawezesha wanafunzi kunawa maji usoni mara kwa mara kwa lengo la kuepuka ugonjwa wa Trachoma nchini Tanzania.
No comments:
Post a Comment