Pata picha,Habari na mambo mbalimbali katika Mtazamo
Wednesday, 30 April 2008
Kikwete na Tshivangirai
Rais wa Jamhuri ya Muungano ambaye ni Mwenyekiti wa AU Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na kiongozi wa chama cha upinzani nchini Zimbabwe MDC Bw. Morgan Tshivangirai walipokutana nchini Ethiopia.
No comments:
Post a Comment