Tuesday, 27 April 2010

Hali Tete Dar




Hali haikua shwari kabisa kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam jana kufuatia mvua kubwa kunyesha na kusababisha foleni kubwa iliyowalazimu baadhi ya watu kutembea kwa miguu. Hali hiyo pia ilipelekea watu wanaotumia magari kuchukua muda mrefu sana kelekea 'makwao' kwa mfano mtu anayekaa Mbezi ya Kimara ilimlazimu kuchukua zaidi ya saa nne ili afike nyumbani


No comments: