Saturday, 15 March 2008

Ugali huu

Nyumbani ni nyumbani. Pichani ni ndugu wakipata ugali. Picha hii niliinasa nilipotembelea Kijiji cha Dule Wilaya ya Lushoto Mkoa wa Tanga.

No comments: