Pata picha,Habari na mambo mbalimbali katika Mtazamo
Tuesday, 9 February 2010
Sasa Mambo Saaafi
Makamu wa Rais wa Nigeria (Kushoto) Bw. Goodluck Jonathan ambaye sasa anakaimu Urais wa nchi hiyo baada ya kusimikwa madaraka hayo na Bunge la Senate la Nigeria kufuatia kuugua kwa muda Rais wa nchi hiyo Umaru Ya'Adua.
No comments:
Post a Comment