Tuesday, 20 April 2010

Wanasheria wa Tume Wafanya Ziara Mbinga, Songea

Baadhi ya Watendaji wa Serikali wa Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma wakisikiliza mada zilizokuwa zikitolewa na Wanasheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania waliotembelea Wilaya hiyo hivi karibuni

Baadhi ya Mkatibu Tarafa na Wazee wa Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma wakifuatilia mada

Ofisa Sheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (LRCT) Flora Tenga akiwasilisha mada mbele ya Watumishi wa Serikali wilayani Mbinga mkoani Ruvuma



Ofisa Sheria wa Tume Flaviana Charles akionesha msisitizo wakati akiwasilisha mada yake ya Sheria ya Mirathi



No comments: