Hapa nilikuwa katika hafla fupi iliyoandaliwa kwa ajili yangu baada ya kutunukiwa shahada ya kwanza ya Mawasiliano ya Umma (BA Mass Communication) katika chuo cha Waislamu Morogoro.
Baadhi ya wananchi wa jiji la Dar es Salaam wakiwa wamekusanyika karibu kabisa na Soko la Kisutu kwa ajili ya kusubiri Zaka kutoka kwa tajiri mmoja waliyemtaja kwa jina la Baghdad